BALOZI NAIMI AWASILISHA HATI ZA UTAMBULISHO IAEA
Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mashirika ya Umoja wa Mataifa jijini Vienna, Austria amewasilisha Hati za Utambulisho kwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nguvu za Atomiki Duniani (IAEA)… Read More